3059 views Amiraly M. H. Datoo Hadith ya Mtume wa Mwenyezi Mungu juu ya ubora wa Imamu Ali (as) Fadhail Za Imam Ali (as) 1. Kutokea 'Ala, amesema yeye: "Mimi nilimwuliza 'Aysha kuhusu 'Ali ibn Abi Talib. Mimi nilimwuliza Mtume s.a.w.w. ...
Aliwaale - 09/06/2019 - 08:19
18025 views Ductoor A Kadiri Sheikh Abdillahi Nassir Kitabu hiki ni mkusanyiko wa baadhi ya mafunzo yake S.A.W. ambayo yanatupa msingi wa yote hayo. Hadithi Za Mtume (s.a.w.) Kimetarjumiwa Na: Ductoor A Kadiri Taasisi ya Fikra za Kiislamu (Islamic Thought ...
Aliwaale - 09/04/2019 - 18:17
4556 views (Peponi na Motoni) Amiraly M. H. Datoo Kitabu hiki anaelezea Jannat na Jahannam. General Jannat Jahannam Nafs Prophet Muhammad ...
Aliwaale - 09/06/2019 - 08:19
6007 views Amiraly M. H. Datoo Kufunga Saumu Siku Ya Ashura Makala 1 haya yametarjumiwa na: Amiraly M. H. Datoo [email protected] Bukoba – Tanzania Baadhi ya Ahadith zinapatikana katika vitabu vya Ahl as-Sunnah kwamba Mtume Muhammad Mustafa s.a.w.w. ali ...
Aliwaale - 09/04/2019 - 18:07
Kwa Mtazamo Wa Qurani Na Sunna 3546 views Ayatullah Jafar Subhani Al Itrah Foundation Kitabu kilichoko mikononi mwako, ni tarjuma ya kitabu cha Kiarabu kwa jina la: "Al-Mas’hu ‘Ala ‘l-Khuffayn" Sisi tumekiita: "Kupaka Juu ya Khofu." Ki ...
Aliwaale - 09/05/2019 - 18:57
Kwa Mtazamo wa Qurani Na Sunna 4353 views Ayatullah Jafar Subhani Al Itrah Foundation Kitabu kilichoko mikononi mwako, ni tarjuma ya kitabu cha Kiarabu kwa jina la: "Al-Jam’u Bayna Salaatayn" Sisi tumekiita: "Kukusanya Sala mbili." Kit ...
Aliwaale - 09/04/2019 - 18:07
3305 views Amiraly M. H. Datoo Madhambi Yamfanyayo Mtu Kuingia Jahannam ***** Hadithi hii ilisomwa na: Sheikh Akmal Hussein Taheri- Bukoba. Mwanadamu yupo daima anatenda madhambi kutokana na nafsi yake mwenyewe. Malaika walipomwabia Allah swt kuwa mjumbe ...
Aliwaale - 09/06/2019 - 08:19
2739 views Ayatullah Murtadha Mutahhari Muhammad Rida Shushtary Hii ni Makala ya Mahari ya Damu. Mahari ya Damu ***** Wakati vita vya Siffin vilipokaribia kumalizika na majeshi ya Sham (Syria) kushindwa, Amr Aas alitumia njama moja ambayo iliwasaidia Wash ...
Aliwaale - 09/05/2019 - 15:24
6465 views Sultan al-Wa’adhin As-Sayyid Muhammad al-Musawi ash-Shirazi Al Itrah Foundation Kitabu kilichoko mikononi mwako ni tarjuma ya kitabu cha Kiingereza kiitwacho, Peshawar Nights. Asili ya kitabu hiki ni cha lugha ya Kifarsi kwa jina la, Shab’ha-ye ...
Aliwaale - 09/05/2019 - 09:14
3823 views Sayyid Mahdi Shuja'i Muhammad Rida Shushtary Mkufu wa Ajabu Mji wa Madina ulikuwa ukiwaka kwa joto kali baada ya adhuhuri. Jua lilikuwa kali na ardhi ilikuwa ikiunguza. Ni watu wachache tu ndio waliokuwa wakitoka kwenye kivuli cha nyumba n ...
Aliwaale - 09/05/2019 - 09:14
3926 views Al Itrah Foundation Kijitabu kilichoko mikononi mwako ni tarjuma ya Kiswahihi kutoka Kiingereza. Ni maelezo mafupi ya wasifu wa Mtukufu Mtume wa Mungu mwenye nguvu sana, Muhammad (s.a.w.), ambaye kuhusu yeye Qur’an Tukufu inasema: “Bila shaka a ...
Aliwaale - 09/04/2019 - 18:07
4584 views Sayyid Murtadha al-'Askari Al Itrah Foundation Kitabu kilichoko mikononi mwako, ni tarjuma ya kitabu cha Kiingereza, kwa jina la: "The role of Ahlul Bait (as) in Preserving the teaching of Islam" Tarjuma ya Mulla Asghaar M. M. Ja ...
Aliwaale - 09/05/2019 - 18:57
13357 views Al Itrah Foundation Kitabu kilichoko mkononi mwako ni tarjumi kutoka lugha ya Kiarabu ya kitabu maarufu katika ulimwengu wa Kiislamu, Nahju 'l-Balaghah. Kitabu hiki kitachapishwa katika majalada mbali mbali, na hili ulilo nalo mkononi ni ...
Aliwaale - 09/05/2019 - 15:50
7004 views Al Itrah Foundation Kitabu kilichoko mkononi mwako ni tarjumi kutoka lugha ya Kiarabu ya kitabu maarufu katika ulimwengu wa Kiislamu, Nahju 'l-Balaghah. Kitabu hiki kitachapishwa katika juzuu mbili, na hii uliyo nayo mkononi ni juzuu ya pi ...
Aliwaale - 09/05/2019 - 18:57
Sehemu Ya Kwanza 14528 views Sayyid Ali Akbar Sadaaqat Al Itrah Foundation Kitabu kilichoko mikononi mwako ni tarjuma ya kitabu cha Kiingereza kiitwacho, Anecdotes. Sisi tumekiita, Visa vya Kweli. Kitabu hiki kime- andikwa na Sayyid Ali Akbar Sadaaqat. Ki ...
Aliwaale - 09/04/2019 - 18:07
Mtazamo Wa Ki Islamu Na Qa Nchi Za Magharibi 3788 views Sayyid Sa'eed Akhtar Rizvi Al Itrah Foundation Kitabu hiki kimerudiwa kimechapishwa tena kwa ruhusa ya waandishi, ili kuafikiana na Kongamano la Kilimwengu la Umoja wa Mataifa dhidi ya Ubagazi w ...
Aliwaale - 09/17/2019 - 15:24
12482 views Sayyid Ali Asghar Razwy Al Itrah Foundation Hii ni historia ya vuguvugu la Uislamu ambalo lilianzishwa na Muhammad, Mtume wa Allah (s.w.t.) mnamo mwaka 610 A.D. huko Makka, na kuendelea alipohamia Madina mpaka alipofarika. Inahusisha kipindi c ...
Aliwaale - 09/17/2019 - 14:19
5750 views Mahnaz Heydarpoor Al Itrah Foundation Kitabu kilichoko mikononi mwako, ni tarjuma ya kitabu cha Kiingereza, kwa jina la: “Love in Christianity and Islam.” Sisi tumekiita: “Upendo katika Ukirsto na Uislamu. Kitabu hiki, “Upendo katika Ukristo na ...
Aliwaale - 09/17/2019 - 15:29
5048 views As'ad Wahid al-Qasim Al Itrah Foundation Kitabu kilichoko mikononi mwako, ni tarjuma ya kitabu cha Kiarabu, kwa jina la: Haqiqat Shi’a Ithna-Asahariyyah kilichoandikwa na, Dr. ‘Asad Wahid Al-Qaasim. Kitabu hiki ni utafiti wa kina uliofanyw ...
Aliwaale - 09/05/2019 - 18:57
Imani ya Sunni 12108 views Shaykh Mu'tasim Sayyid Ahmad (of Sudan) Al Itrah Foundation Kitabu kilichoko mikononi mwako ni tarjuma ya kitabu cha Kiarabu kiitwacho al-Haqiqatu ‘dh-Dha’i’ah kilichoandikwa na Sheikh Mu’tasim Sayyid Ahmad. Sisi tumekiita, ...
Aliwaale - 09/05/2019 - 18:57