Kitabu kilichoko mikononi mwako, ni tarjuma ya kitabu cha Kiarabu kwa jina la: "Al-Mas’hu ‘Ala ‘l-Khuffayn" Sisi tumekiita: "Kupaka Juu ya Khofu."
Kitabu hiki, "Kupaka Juu ya Khofu" ni matokea ya utafiti wa kielimu uliofanywa na Mwanachuoni wa Kiislamu, Jafar Subhany.