59 - Na Alisema (A.S)
Alipoazimia Kuwapiga Vita Khawarij, Na Aliambiwa: Kwa Hakika Hawa Watu Wamekwishavuka Daraja La An-Nahrawaan
Hapo alisema: “Maangukio yao ni chini ya nutfa, Wallahi hawaponyoki kumi miongoni mwao, 1na wala hawatokufa isipokuwa kumi miongoni mwetu.” Sharifu Ar-Radii (r.a) amesema: nutfa anakusudia maji ya mto wa Furaat na hili ni jina mbadala zuri mno kwa maji japo maji yawe mengi. Na hilo tuliliashiria hapo nyuma wakati wa kulipita linaloshabihiana nalo.
- 1. Habari hizi ni miongoni mwa habari ambazo zinakaribia kuwa zimezagaa; kwa umashuhuri wake na kunakiliwa kwake na watu wote; nayo ni miongoni mwa miujiza yake na habari zake za ufafanuzi wa mambo yaliyoghibu. Kwa kuwa hakuokoka miongoni mwao ila watu tisa na wametawanyika katika nchi, na hawakuuliwa katika as’habi wa Amirul-Mu’minin ila wanane.
- Nahjul Balaghah - Juzuu ya Pili
- Neno La Mchapishaji
- Dibaji
- 56 - Na Miongoni Mwa Maneno Yake (A.S)
- 57 - Na miongoni mwa maneno yake (a.s)
- 58 - Na miongoni mwa usemi wake (a.s)
- 59 - Na Alisema (A.S)
- 60 - Na Amesema (A.S)
- 61 - Na Alisema (A.S.)
- 62 - Na Katika Maneno Yake (A.S)
- 63 - Na Miongoni Mwa Semi Zake (A.S)
- 64 - Na Miongoni Mwa Khutba Zake (A.S)
- 65 - Na Miongoni Mwa Khutba Zake (A.S)
- 66 - Na Miongoni Mwa Maneno Yake (A.S)
- 67 - Na miongoni mwa semi zake (A.S)
- 68 - Na Miongoni Mwa Maneno Yake (A.S)
- 69 - Na Miongoni Mwa Maneno Yake (A.S)
- 70 - Na Amesema (A.S)
- 71 - Na Miongoni Mwa Khutba Zake (A.S)
- 72 - Na Miongoni Mwa Khutba Zake (A.S)
- 73 - Na Miongoni Mwa Maneno Yake (A.S)
- 74 - Na Katika Usemi Wake (A.S)
- 75 - Na Miongoni Mwa Semi Zake (A.S)
- 76 - Na Miongoni Mwa Khutba Zake (A.S)
- 77- Na Miongoni Mwa Semi Zake (A.S)
- 78 - Na Miongoni Mwa Semi Zake (A.S)
- 79 - Na Miongoni Mwa Maneno Yake (A.S)
- 80 - Na Miongoni Mwa Khutba Zake (A.S)
- 81- Na Miongoni Mwa Maneno Yake (A.S)
- 82 - Na Miongoni Mwa Semi Zake (A.S)
- 83 - Miongoni Mwa Khutba Zake (A.S)
- 84 - Na Miongoni Mwa Khutba Zake (A.S)
- 85 - Miongoni Mwa Khutba Zake (A.S)
- 86 - Na Miongoni Mwa Khutba Zake (A.S)
- 87 - Na Miongoni Mwa Khutba Zake (A.S)
- 88 - Na Miongoni Mwa Khutba Zake (A.S)
- 89 - Na Miongoni Mwa Khutba Zake (A.S)
- 90 - Na Miongoni Mwa Khutba Zake (A.S)
- 91 - Na Miongoni Mwa Khutba Zake (A.S)
- 92 - Miongoni Mwa Khutba Zake (A.S)
- 93 - Miongoni Mwa Khutba Zake (A.S)
- 94 - Na Miongoni Mwa Khutba Yake (A.S)
- 95 - Na Miongoni Mwa Khutba Zake (A.S)
- 96 - Na Miongoni Mwa Khutba Zake (A.S)
- 97 - Miongoni Mwa Maneno Yake (A.S.)
- 98 - Na Miongoni Mwa Maneno Yake (A.S)
- 99 - Miongoni Mwa Khutba Zake (A. S)
- 100 - Na Miongoni Mwa Khutba Zake (A.S)
- 101 - Na Miongoni Mwa Khutba Zake (A.S)
- 102 - Na Miongoni Mwa Khutba Zake (A .S)
- 103 - Miongoni Mwa Khutba Zake (A. S)
- 104 - Na Miongoni Mwa Khutba Zake (A.S)
- 105 - Miongoni Mwa Khutba Zake (A.S)
- 106 - Na Miongoni Mwa Khutba Zake (A.S)
- 107 - Na Miongoni Mwa Khutba Zake (A. S)
- Na Miongoni Mwa Khutba Zake (a.s) - at-Tabari ameieleza katika Ta’arikh yake katika matukio ya mwaka wa 37 H.A., na Ibn Muzahim katika Swifiin, uk. 256.
- 108 - Na Miongoni Mwa Khutba Zake (A .S)
- 109 - Na Miongoni Mwa Khutba Zake (A .S)
- Kiyama
- 110 - Na Miongoni Mwa Khutba Zake (A.S)
- Orodha Ya Vitabu Vilivyo Chapishwa Na Al-Itrah Foundation: