
Maelezo yote kuhusu mambo anayofanyiwa mtu anapokata roho na baadaye namna ya kumwosha na kadhalika, kwa mujibu wa madhehebu ya Shia ithnaashariyya yamo katika kitabu hiki. Kila mwislamu anashauriwa aisome
Mambo Yanayomhusu Maiti
Kimetungwa na Sayyid Muhammad Mahdi al-Musawy al-Shushtari
Kimetolewa na
Bilal Muslim Mission of Tanzania
S.L.P. 20033
Dar es Salaam - Tanzania