Kwa Ndugu Msomaji
Asalaam Alaykum
Kitabu hiki kinatolewa na Seminari ya kiislamu (S.L.B. 5425, Karachi, Pakistan). Vitabu vyake vimelengwa kuyatimiza mahitaji ya kiroho ya zama zetu hizi, na msisitizo maalum juu ya kuzisafisha akili na fikara. Juhudi nyingi zimefanywa na Seminari hii kuweka kwenye vitabu vyake yale yaliyo na nguvu na yaliyo ukweli halisi kwenye Uislamu. Unaombwa kukisoma kitabu hiki katika hali iliyodhamiriwa. Vilevile unaombwa kuwasiliana nasi, kuhusu maoni yaliyo huru kuhusu vitabu vyetu, jambo tutakalolipenda mno.
Kuubalighisha ujumbe wa Uislamu ni jukumu lihitajilo ushirikiano wa watu wote. Seminari hii inakukaribisha ushiriki kwenye jukumu hili ukiuitika mwito wa aya ya Qur’ani Tukufu isemayo:
قُلْ إِنَّمَا أَعِظُكُمْ بِوَاحِدَةٍ ۖ أَنْ تَقُومُوا لِلَّهِ مَثْنَىٰ وَفُرَادَىٰ ثُمَّ تَتَفَكَّرُوا ۚ {46}
“…Sema: Mimi ninakuahidini jambo moja tu, ya kwamba msimame kwa ajili ya Allah, wawiliwawili na mmoja-mmoja…” (As-Saba 34: 46).
Allah na Akubariki.
Nduguyo katika Uislamu,
Katibu wa Uchapishaji.
- Ujumbe - Sehemu Ya Kwanza
- Kuhusiana Nasi
- Kwa Ndugu Msomaji
- Neno La Mchapishaji
- Utangulizi
- Sura Ya Kwanza: Rasi Ya Bara Arabu
- Sura Ya 2: Uarabuni Kabla Ya Uislamu
- Maadili Ya Waarabu Kwa Ujumla
- Je, Waarabu Wa Kabla Ya Uislamu Walistaarabika
- As’ad Bin Zurarah Akutana Na Mtukufu Mtume (S.A.W.W)
- Dini Bara-Arabuni
- Fikara Za Waarabu Kumhusu Mwanadamu Baada Ya Kifo
- Fasihi Au Stirioskopu (Kinasa Picha Mbili Kwa Pamoja) Ya Fikra Za Taifa
- Daraja Ya Wanawake Miongoni Mwa Waarabu
- Nafasi Ya Kijamii Ya Wanawake Miongoni Mwa Waarabu
- Ulinganisho Mfupi
- Waarabu Kama Wapiganaji
- Hitimisho
- Ushirikina Na Ngano Za Waarabu
- Itikadi Za Kishirikina Za Waarabu Wa Zama Za Ujinga
- 1. Kuwasha Moto Kwa Ajili Ya Kuja Kwa Mvua
- 2. Kama Ng’ombe Jike Hakunywa Maji Walimpiga Ng’omba Dume
- 3. Waliwapiga Chapa Ya Moto Ngamia Wenye Afya Njema Ili Wengine Wapone.
- 4. Ngamia Aliwekwa Pembeni Mwa Kaburi
- 5. Waliikata Miguu Ya Ngamia Karibu Na Kaburi
- Uislamu Wapambana Na Ushirikina
- Jinsi Uislamu Ulivyofanya Kampeni Dhidi Ya Ushirikina Huu
- Sura Ya Tatu: Hali Ya Dola Za Kirumi Na Ki-Iran
- Majadiliano Ya Msimu Nchini Urumi
- Iran Au Chanzo Cha Ustaarabu Wa Zama Zile
- Hali Ya Ujumla Ya Iran Pamoja Na Mapambazuko Ya Uislamu
- Huba Ya Anasa Katika Kipindi Cha Wasasani
- Hali Za Kijamii Nchini Iran
- Haki Ya Kupata Elimu Ilihifadhiwa Kwa Ajili Ya Watu Wa Matabaka Ya Juu Tu
- Ushuhuda Wa Historia Juu Ya Wafalme Wa Kisasania
- Ghasia Katika Zama Za Wasasani
- Hali Ya Mchafuko Ya Iran Ya Wasasani Katika Mtazamo Wa Kidini
- Vita Baina Ya Iran Na Urumi
- Sura Ya Nne: Jadi Wa Mtukufu Mtume (S.A.W.W)
- Nabii Ibrahm (A.S.), Bingwa Wa Imani Ya Mungu Mmoja.
- Kwa Nini Kuabudu Viumbe Kulitokea
- Mahali Alipozaliwa Nabii Ibrahim (A.S.)
- Kampeni Ya Nabii Ibrahim Dhidi Ya Ibada Ya Masanamu
- Siri Ya Ushirikina
- Ufafanuzi Wa Mantiki Ya Nabii Ibrahim (A.S.)
- Mbinu Za Majadiliano Na Midahalo Waliyoitumia Mitume
- Je, Azar Alikuwa Ndiye Baba Yake Nabii Ibrahim (A.S.)?
- Azar Katika Qur’ani Tukufu
- Nabii Ibrahim (A.S.) Mvunja Masanamu
- Nukta Za Simulizi Hii Zenye Mafunzo
- Ukurasa Mpya Katika Maisha Ya Nabii Ibrahim (A.S.)
- Jinsi Chemchem Ya Zamzam Ilivyopatikana
- Wakutana Tena
- Qusayy Mwana Wa Kilaab
- Abd Manaaf
- Hashim
- Umayyah Mwana Wa Abd Shams Aona Kijicho
- Hashim Aoa
- Abdul-Muttalib
- Kuchimbwa Upya Kwa Kisima Cha Zamzam
- Umadhubuti Wake Katika Kutimiza Ahadi
- Machafuko Ya Mwaka Wa Ndovu
- Asili Ya Tukio Hili:
- Abdul-Muttalib Aenda Kambini Kwa Abraha
- Waquraishi Wasubiri Kurejea Kwa Abdul-Muttalib
- Mjadala Wa Kiakili Juu Ya Miujiza
- Mtindo Wa Fikara Za Baadhi Ya Wanachuoni
- Mambo Muhimu Kuhusu Maelezo Tuliyoyatoa Juu
- Mambo Mawili Yaliyo Muhimu
- Baada Ya Kushindwa Kwa Abraha
- Mipaka Ya Kimawazo Ya Waquraishi
- Bwana Abdallah – Baba Yake Mtukufu Mtume (S.A.W.W)
- Kufariki Dunia Kwa Abdullah Mjini Yathrib
- Sura Ya Tano: Kuzaliwa Kwa Mtukufu Mtume (S.A.W.W)
- Sura Ya Sita: Utotoni Mwa Mtukufu Mtume (S.A.W.W)
- Sura Ya Saba: Kujiunga Tena Na Familia Yake
- Sura Ya Nane:Kipindi Cha Ujana
- Sura Ya Tisa: Kutoka Kwenye Uchungaji Hadi Kwenye Biashara
- Sura Ya Kumi: Kuanzia Ndoa Hadi Utume
- Sura Ya Kumi Na Moja:Udhihiriko Wa Kwanza Wa Ukweli
- Sura Ya Kumi Na Mbili:Wahyi Wa Kwanza
- Sura Ya Kumi Na Tatu :Ni Nani Waliokuwa Watu Wa Kwanza Kusilimu?
- Sura Ya Kumi Na Nne:Kukoma Kwa Ufunuo
- Sura Ya Kumi Na Tano
- Kuwalingania Watu Wote
- Wajibu Wa Imani Na Uvumilivu
- Uthabiti Na Ustahimilivu Wa Mtukufu Mtume (S.A.W.W.)
- Waquraishi Wamwendea Bwana Abu Twalib Kwa Mara Ya Tatu
- Waquraishi Wajaribu Kumvutia Mtukufu Mtume (S.A.W.W)
- Mfano Wa Mateso Na Maonevu Ya Waquraishi
- Abu Jahl Amvizia Mtume (S.A.W.W)
- Mateso Ya Waquraishi Dhidi Ya Waislamu
- Bilal Mu-Ethiopia:
- Kujitoa Muhanga Kwa Ammar Na Wazazi Wake
- Abdullah Bin Mas’ud
- Maadui Wakali Mno Wa Mtukufu Mtume (S.A.W.W)
- Umar Ibn Khattab Asilimu
- Sura Ya Kumi Na Sita: Uamuzi Wa Waquraishi Juu Ya Qur’ani Tukufu
- Sura Ya Kumi Na Saba:Kuhama Kwa Mwanzo
- Orodha Ya Vitabu Vilivyo Chapishwa Na Al-Itrah Foundation: