
Kitabu kilichoko mikononi mwako ni tarjuma ya kitabu cha Kiingereza kiitwacho, The Message, kilichoandikwa na Sheikh Ja’far Subhani. Sisi tumekiita, Ujumbe. Kwa vile kitabu hiki ni kikubwa, tumekigawa katika juzuu nne ili kuwarahisishia wasomaji wetu kukisoma kwa makini katika kila sehemu. Hii uliyonayo mkononi ni Juzuu ya Pili.
Kitabu hiki kilichoandikwa na mwanachuoni mkubwa Sheikh Ja’far Subhani kimekuwa ni miongoni mwa vitabu bora vilivyofanya utafiti wa kina kuhusu historia ya Uislamu na Waislamu.
- Ujumbe - Sehemu Ya Pili
- Neno La Mchapishaji
- Kuhusiana Nasi
- Islamic Seminary Publications
- Kwa Ndugu Msomaji
- Utangulizi
- Sura Ya 18: Silaha Zenye Kutu
- Sura Ya 19: Uzushi Wa Gharaaniq
- Sura Ya 20: Vikwazo Vya Kiuchumi
- Sura Ya 21: Bwana Abu Twalib Afariki Dunia
- Mifano Ya Huba Na Huruma Za Bwana Abu Twalib
- Mabadiliko Kwenye Mpango Wa Safari
- Ulinzi Wa Itikadi Zake Takatifu
- Dhana Potovu
- Kichocheo Halisi Cha Bwana Abu Twalib
- Mukhtasari Wa Mihanga Aliyoitoa Bwana Abu Twalib
- Wasia Wa Bwana Abu Twalib Wakati Wa Kufariki Kwake Dunia
- Safari Ya Mwisho
- Maoni Ya Wanachuoni Wa Kishi’ah
- Sura Ya 22: Mi’iraaj - Kupaa Mbinguni
- Mi’iraaj Kwa Mujibu Wa Qur’anii, Hadith Na Historia
- Je, Mi’iraaj Ina Asili Ya Qur’anii?
- Taarifa Juu Ya Mi’iraaj
- Historia Ya Tukio Hili
- Je, Mi’iraji Ya Mtume Ilikuwa Ya Kimwili?
- Je, Ilikuwa Mi’iraaj Ya Kiroho?
- Jibu La Ukosoaji Huo Hapo Juu
- Wimbo Usio Na Mahadhi
- Mi’iraaj Na Kanuni Za Kisayansi Za Kisasa
- Jibu La Upingamizi Huo Hapo Juu
- Lengo La Mi’iraaj
- Sura Ya 23: Safari Ya Kwenda Taif
- Sura Ya 24: Mapatano Ya ‘Aqabah
- Sura Ya 25: Tukio La Kuhajiri (Kuhama)
- Msaada Wa Kimungu
- Malaika Mkuu Amwarifu Mtume (S.A.W.W).
- Maadui Waishambulia Nyumba Ya Mtume (S.A.W.W.)
- Mtume (S.A.W.W) Akiwa Kwenye Pango La Thaur
- Waquraishi Hawasiti Kumtafuta Mtume (S.A.W.W)
- Kujitoa Mhanga Katika Njia Ya Ukweli
- Maelezo Ya Ibn Taymiyah
- Majibu Kwa Tafsiri Hii Ya Uongo
- Jibu Lenye Maelezo Ya Kina
- Mfuatano Wa Matukio Ya Hajira Ya Mtume (S.A.W.W)
- Kutoka Nje Ya Pango Lile
- Ukurasa Wa Kwanza Wa Historia
- Kwa Nini Ule Mwaka Wa Hijra Ukawa Ndio Mwanzo Wa Historia Ya Kiislamu?
- Mpango Wa Safari Ya Kwenda Yathrib
- Kuwasili Kwenye Kijiji Cha Quba
- Makelele Na Hoihoi Za Shangwe Mjini Madina
- Mbegu Ya Mfarakano
- Sura Ya 26: Matukio Ya Mwaka Wa Kwanza Wa Hijiriya
- Kisa Cha Ammaar
- Yaya Mwenye Huruma Zaidi Kwa Mtoto Kuliko Mama Yake.
- Udugu – Dalili Kuu Kabisa Ya Imani
- Tofauti Kubwa Mbili Za Sayyidna Ali (A.S.)
- Sifa Nyingine Ya Saidina Al I (A.S)
- Mkataba Mkuu Wa Kimaandishi Katika Historia
- Vizuizi Vya Wayahudi
- Abdullah Bin Salaam Asilimu
- Mpango Mwingine Wa Kuipindua Serikali Ya Kiislamu
- Sura Ya 27: Baadhi Ya Matukio Ya Mwaka Wa Kwanza Na Wa Pili Hijiriya
- Sura Ya 28: Matukio Ya Mwaka Wa Pili Hijiriya
- Sura Ya 29: Mabadiliko La Qiblah
- Sura Ya 30: Vita Vya Badr
- Tatizo Lililowakabili Waquraishi
- Majeshi Ya Haki Na Ya Batili Yakabiliana
- Mashauriano Ya Kijeshi
- Kuuficha Ukweli
- Kupata Taarifa Juu Ya Adui
- Msafara Wa Abu Sufyani Wakimbia
- Waislamu Watambua Kutoroka Kwa Msafara
- Tofauti Za Maoni Miongoni Mwa Waquraishi
- Mnara Wa Kuamrishia
- Kulichunguza Suala La Ujenzi Wa Kibanda Cha Kivuli
- Kusonga Kwa Waquraishi
- Kushauriana Kwa Waquraishi
- Tofauti Za Maoni Miongoni Mwa Waquraishi
- Sababu Zilizoifanya Vita Vya Badr Kutoepukika
- Mapambano Ya Mtu Na Mt
- Mapambano Ya Wote Jumla Yaanza
- Kuchunga Haki
- Umayyah Bin Khalaf Auwawa
- Idadi Ya Waliouawa Na Hasara
- Baada Ya Vita Vya Badr
- Mateka Wawili Waliuwawa Njiani
- Watu Walitumwa Na Mtume (S.A.W.W) Kwenda Madina
- Watu Wa Makka Waja Kutambua Kuuawa Kwa Machifu Wao
- Mayowe Na Maombolezo Yapigwa Marufuku
- Uamuzi Wa Mwisho Juu Ya Mateka
- Kauli Ya Ibn Abil Hadid
- Sura Ya 31: Mipango Ya Hatari Ya Wayahudi
- Sura Ya 32: Matukio Ya Mwaka Wa Tatu Hijiriya
- Sababu Za Vita Ya Uhud
- Waquraishi Waamua Kuzikabili Gharama Za Vita
- Taasisi Ya Upelelezi Ya Mtume (S.A.W.W) Yatoa Taarifa
- Jeshi La Waquraishi Laanza Safari
- Ukanda Wa Uhud
- Kushauriana Kuhusu Ulinzi
- Kupiga Kura Ya Kuuwawa
- Matokeo Ya Ushauriano
- Mtume (S.A.W.W.) Achukua Uamuzi
- Mtume (S.A.W.W.) Aenda Nje Ya Mji Wa Madina
- Askari Wawili Waliojitolea Mhanga
- Safu Za Yale Majeshi Mawili
- Kuimarisha Hamasa Za Askari
- Adui Azipanga Safu Zake
- Vichocheo Vya Kisaikolojia
- Vita Vyaanza
- Nani Waliokuwa Wakipigana Kwa Ajili Ya Tamaa?
- Kushindwa Baada Ya Ushindi
- Tetesi Juu Ya Kuuwawa Kwa Mtume (S.A.W.W) Zaenea
- Je, Yawezekana Kukana Kule Kukimbia Kwa Baadhi Ya Watu?
- Qur’ani Tukufu Yafichua Baadhi Ya Mambo
- Uzoefu Mchungu
- Watu Watano Wapanga Kumuua Mtume (S.A.W.W)
- Ulinzi Ulioandamana Na Kufuzu Na Kushinda Upya.
- Alama Za Matukio Kule Uhud
- Wenye Kufuata Maslahi Miongoni Mwa Maadui
- Mwisho Wa Vita
- Neno La Mwisho La Sa’ad Bin Rabi’
- Mtume (S.A.W.W.) Arejea Madina
- Kumbukumbu Zenye Kusisimua Za Mwanamke Mwaminifu
- Mfano Mwingine Wa Mwanamke Aliyejitolea Mhanga
- Ni Lazima Adui Afuatiliwe
- Mtume (S.A.W.W) Aenda Hadi Hamraa’ul Asad
- Muumini Wa Kweli Hadanganywi Mara Mbili
- Orodha Ya Vitabu Vilivyo Chapishwa Na Al-Itrah Foundation: