
Kitabu kilichoko mikononi mwako ni tarjuma ya kitabu cha Kiingereza kiitwacho, The Message, kilichoandikwa na Sheikh Ja’far Subhani. Sisi tumekiita, Ujumbe. Kwa vile kitabu hiki ni kikubwa, tumekigawa katika juzuu nne ili kuwarahisishia wasomaji wetu kukisoma kwa makini katika kila sehemu. Hii uliyonayo mkononi ni Juzuu ya Tatu.
Kitabu hiki kilichoandikwa na mwanachuoni mkubwa Sheikh Ja’far Subhani kimekuwa ni miongoni mwa vitabu bora vilivyofanya utafiti wa kina kuhusu historia ya Uislamu na Waislamu.
- Ujumbe - Sehemu Ya Tatu
- Kuhusiana Nasi
- Islamic Seminary Publications
- Kwa Ndugu Msomaji,
- Utangulizi
- Neno La Mchapishaji
- Sura Ya 33: Matukio Ya Mwaka Wa Tatu Na Wa Nne Hijiriya
- Sura Ya 34: Wayahudi Wautoka Ukanda Wa Waislamu
- Sura Ya 35: Matukio Ya Mwaka Wa Nne Hijiriya Kuharimishwa Kwa Pombe
- Sura Ya 36: Matukio Ya Mwaka Wa Tano Hijiriya
- Sura Ya 37: Vita Vya Ahzaab
- Idara Ya Upelelezi Ya Waislamu
- Maelezo Maarufu Ya Mtume (S.A.W.W.) Kuhusiana Na Salman
- Jeshi La Waarabu Na Wayahudi Lauzingira Mji Wa Madina
- Idadi Ya Askari Wa Hayo Majeshi Mawili
- Ukali Wa Majira Ya Baridi Na Upungufu Wa Chakula
- Hay Bin Akhtab Awasili Kwenye Ngome Ya Bani Quraydhah
- Mtume (S.A.W.W) Atambua Kuvunjwa Kwa Mapatano Na Bani Quraydhah
- Mwanzo Wa Uasi Wa Bani Quraydhah
- Mapambano Baina Ya Imani Na Ukafiri
- Baadhi Ya Wapiganaji Wa Jeshi La Waarabu Wavuka Lile Handaki
- Mapambano Baina Ya Mabingwa Wawili Hao Yaanza
- Thamani Ya Pigo Hili
- Roho Nzuri Sana
- Jeshi La Waarabu La Gawanyika
- Sababu Zilizoligawa Jeshi La Waarabu
- Wawakilishi Wa Waquraishi Waitembelea Ngome Ya Bani Qurayzah
- Sababu Ya Mwisho
- Sura Ya 38: Hatua Ya Mwisho Ya Madhara
- Sura Ya 39: Matukio Ya Mwaka Wa Tano Na Sita Hijiriya
- Sura Ya 40: Matukio Ya Mwaka Wa Sita Hijiriya
- Sura Ya 41: Safari Ya Kidini Na Kisiasa
- Wawakilishi Wa Quraishi Waja Na Kukutana Na Mtukufu Mtume (S.A.W.W)
- Mtume Wa Uislam (S.A.W.W) Amtuma Mwakilishi Wake
- Mtume (S.A.W.W) Ampeleka Mwakilishi Mwingine
- Mkataba Wa Ridhwaan
- Suhayl Bin ‘Amr Aonana Na Mtume (S.A.W.W)
- Historia Inajirudia Yenyewe
- Hati Ya Mapatano Ya Hudaybiyah
- Bishara Njema Ya Uhuru
- Juhudi Za Mwisho Katika Kuhifadhi Amani
- Tathmini Ya Mkataba Wa Amani Wa Hudaybiyah
- Waquraishi Wasisitiza Kufutwa Kwa Kifungu Kimoja Cha Mkataba
- Wanawake Wa Kiislamu Hawaku Salimishwa Kwa Waquraishi
- Sura Ya 42: Matukio Ya Mwaka Wa Saba Hijiriya
- Ujumla Wa Utume (Kwa Watu Wote)
- Ujumbe Wa Utume Wapelekwa Sehemu Za Mbali
- Hali Ya Dunia Wakati Wa Uwasilishaji Mwaliko Wa Jumla
- Mjumbe Wa Uislamu Katika Nchi Ya Kirumi
- Kaisari Afanya Uchunguzi Juu Ya Mtume (S.A.W.W)
- Barua Ya Mtume (S.A.W.W) Yamvutia Kaisari
- Balozi Wa Mtume (S.A.W.W) Awasili Iran
- Maoni Ya Uwongo Ya Yaa’qubi
- Khusro Perviz Awasiliana Na Mtawala Wa Yemen
- Mjumbe Wa Uislamu Awasili Misrii
- Maqauqis Amwandikia Barua Mtume (S.A.W.W)
- Balozi Wa Uislamu Aingia Ethiopia
- Mazungumzo Baina Ya Yule Balozi Na Negus
- Negus Amwandikia Barua Mtume (S.A.W.W)
- Barua Za Mtume (S.A.W.W) Kwa Watawala Wa Shamu Na Yamamah
- Barua Ya Mtume (S.A.W.W) Kwa Mwana Wa Mfalme Wa Waghassaani
- Balozi Wa Sita Wa Mtume (S.A.W.W) Aenda Yamamah
- Barua Nyingine Za Mtume Wa Uislamu (S.A.W.W)
- Sura Ya 43: Ngome Ya Khaybar: Kitovu Cha Hatari
- Jeshi La Waislamu Laelekea Upande Usiojulikana
- Sehemu Muhimu Zachukuliwa Wakati Wa Usiku
- Ngome Za Wayahudi Zaanguka
- Uchamungu Mbele Ya Dhiki Hasa
- Ngome Zatekwa, Moja Baada Ya Nyingine
- Ushindi Mkuu Wa Khaybar
- Kuugeuza Ukweli Wa Mambo
- Nukta Tatu Zenye Kung’ara Katika Maisha Ya Ali (A.S)
- Mambo Yaliyoleta Ushindi
- Kujipatia Taarifa
- Hisia Za Huruma Mwenye Uwanja Wa Vita
- Kananah Bin Rabi’ Auwawa
- Nyara Za Vita Zagawanywa
- Msafara Utokao Ethiopia; Nchi Ya Kumbukumbu
- Idadi Ya Waliouwawa
- Msamaha Wakati Wa Ushindi
- Tabia Ya Ukaidi Ya Wayahudi
- Wayahudi Watolewa Khaybar
- Uongo Uliothibitishwa Na Nia Yake
- Sura Ya 44: Hadith Ya Fadak
- Sura Ya 45: Kadha Ya Umrah
- Sura Ya 46: Matukio Ya Mwaka Wa Nane Hijiriya
- Sura Ya 47: Vita Vya Dhatus Salasil
- Sura Ya 48: Kutekwa Kwa Mji Wa Makka (Faatihu-Makkah)
- Uamuzi Wa Mtume (S.A.W.W.) Wawatia Waquraishi Kiwewe
- Jasusi Akanaswa
- Mtume (S.A.W.W.) Na Waislamu Waenda Makka
- Kuonyesha Huruma Uwapo Mwenye Mamlaka Na Cheo
- Mbinu Zenye Kuvutia Za Jeshi La Waislamu
- Abbas Amfanya Abu Sufyan Apite Kwenye Kambi Ya Waislamu
- Abu Sufyan Afika Mbele Ya Mtume (S.A.W.W)
- Makka Yasalimu Amri Bila Ya Kumwaga Damu
- Abu Sufyan Aenda Makka
- Jeshi La Waislamu Laingia Mjini
- Kuyavunja Masanamu Na Kutoharisha Ka’abah
- Mtume (S.A.W.W) Atoa Msamaha Kwa Watu Wote
- Bilal Atoa Adhana (Mwito Wa Swala)
- Mtume (S.A.W.W) Awashauri Sana Ndugu Zake
- Hotuba Ya Kihistoria Ya Mtume (S.A.W.W.) Kwenye Msikiti Wa Masjidul Haram
- Ubora Kutokana Na Kuwa Mwarabu
- Vita Vya Miaka Mia Moja Na Mifundo Ya Tangu Kale
- Udugu Wa Kiislamu
- Wahalifu Wakamatwa
- Hadith Ya Ikrimah Na Safwan
- Matukio Ya Baada Ya Kutekwa Kwa Mji Wa Makka
- Mahekalu Ya Masanamu Mjini Makka Na Viungani Mwake Yavunjwa
- Kosa Jingine La Khalid
- Orodha Ya Vitabu Vilivyo Chapishwa Na Al-Itrah Foundation: