Kujifunika kwa mwanamke wa Kiislamu ni jambo la muhimu sana lakini jamii kwa ujumla hu-uliza maswali mengi kuhusu kwa nini mwanamke wa Kiislamu huvaa hijaab. Kitabu hiki ni jibu la maswali yote kuhusiana na hijaab. Hakuna shaka kuwa Wasomaji watafaidika kukisoma.

Umuhimu wa Hijab Kimeandikwa na: Sayyid Saeed Akhtar Rizvi Kimetafsiriwa na: Dhikiri U M Kiondo Kimetolewa na Kimechapishwa na Bilal Muslim Mission of Tanzania S.L.P. 20033 Dar es Salaam – Tanzania