Ya se ha mencionado que el emisario enviado al Príncipe Gasanida de Busra había sido asesinado en el camino a manos de Shurahbil, un feudatario del Emperador Bizantino. Para obtener reparaciones, a su regreso a Medina, el Profeta, después de la peregrinac ...
Zeinab Donati - 08/25/2019 - 18:32
Las violentas tribus de Hawaizah y Zaquif se unieron y congregando una gran fuerza, marcharon hacia los Musulmanes. Para hacerlos llevar su hostilidad hasta lo más elevado y amargo y para inspirar en sus propias filas acciones desesperadas, habían traído ...
Zeinab Donati - 08/25/2019 - 18:32
La caída de Meca fue la señal de una rápida y sin precedentes aceptación del Islam. Como mencionó Amr ibn Salama, un hijo adoptivo y compañero del Profeta: Los Árabes estaban esperando a que Quraish aceptara el Islam. Solían decir que Muhammad (s)era para ...
Zeinab Donati - 08/25/2019 - 18:32
En el año noveno de la Hégira, llegó donde el Profeta un gran número de delegaciones de tribus no Musulmanas, desde lugares muy distantes para aceptar el Islam. Estaban impactados por la fama de los Musulmanes, y las noticias de que su Profeta era verdade ...
Zeinab Donati - 08/25/2019 - 18:32
La Peregrinación de Despedida En este año (10 de la Hégira) el Santo Profeta realizó su última peregrinación, los detalles de la cual son muy bien conocidos. Durante su viaje de regreso, el Santo Profeta se detuvo en Gadir Khum. Al-Nasa’i en Kitab Khasa’i ...
Zeinab Donati - 08/25/2019 - 18:32
En Sahih Muslim, hay una tradición famosa narrada por ‘Abbas diciendo: “Tres días antes de la muerte del Profeta, Umar ibn al-Khattab y otros compañeros estaban presentes a su lado. El Profeta dijo, “Ahora dejénme escribir algo por medio de lo cual no se ...
Zeinab Donati - 08/25/2019 - 18:32
Cuando el Santo Profeta murió, dejó nueve esposas, esto se ha convertifo en un objetivo principal de los escritores Cristianos y Judíos. Dicen que la pluralidad del matrimonio (poligamia) en si misma lleva a la avidez y al desarrollo de la lujuria y el de ...
Zeinab Donati - 08/25/2019 - 18:32
5676 views Sayyid Sa'eed Akhtar Rizvi Bilal Muslim Mission of Tanzania Katika kijitabu hiki Allamah Sayyed Saeed Akhtar Rizvi, kwanza anaeleza Dini ni nini, kisha anaelezea faida zake, anakanusha hoja za wale wasemao kuwa dini ni kitu kipingacho saya ...
Aliwaale - 09/05/2019 - 15:30
(Kwa Maneno Ya Mfasiri) Namshukuru Mwenyezi Mungu Tabarakal Lahu wa Taala, kwa kunipa muda wa kuanza hadi kumaliza tafsiri ya kijitabu hiki kilichoandikwa na Mwalimu wangu Maulana Sayyid Sa’eed Akhtar Rizvi, ambaye pia ni Chief Missionary wetu. Kitabu hik ...
Aliwaale - 04/10/2013 - 21:33
1) Dini Ni Nini? Neno hili lenye asili ya Kiarabu, "Diin (dini) linatumika kwa maana nyingi kidogo. (1) "Uislamu; imani ya Umoja wa Mwenyezi Mungu; Ibada; Utii; Matendo yote ya kiibada na Ucha Mungu." Maana zote hizi zinahusiana zenyewe kwa ...
Aliwaale - 04/10/2013 - 21:33
Kitabu hiki kimerudiwa kimechapishwa tena kwa ruhusa ya waandishi, ili kuafikiana na Kongamano la Kilimwengu la Umoja wa Mataifa dhidi ya Ubagazi wa Rangi, (United Nations World Conference against Racism) ambalo lilitegemewa kufanyika katika jiji la Durba ...
Aliwaale - 08/25/2019 - 18:32
Kitabu kilichoko mikononi mwako, ni tarjuma ya kitabu cha Kiingereza, kwa jina la “ Slavery – Islamic & W estern Perspective s kilichoandikwa na Mwanachuoni mkubwa Marhum Allamah Sayyid Sa’eed Akhtar Rizvi. Kitabu hiki kwa ufupi kinaelezea juu ya bias ...
Aliwaale - 08/25/2019 - 18:32
Utumwa ni moja wapo ya maovu ambayo yamekuwepo katika jamii tangu kuwepo kwa mwanadamu hapa duniani na jitihada za wanamageuzi kujaribu kuuzuia zimeshindwa kwa karne nyingi sana. Ustaarabu wa kale haukuweza kuondoa utumwa, kwa hiyo jamii za wakati huo zil ...
Aliwaale - 08/25/2019 - 18:32
Kitabu hiki kiliandikwa kwa ombi la marehemu Haji Hasanali P. Ebrahim, ambaye ndiye aliye kichapisha kutoka kwa Peermahomed Ebrahim Trust, Karachi, mnamo mwaka 1972. Mara baada ya kuchapishwa, nakala zote zilinunuliwa, lakini mahitaji yakawa bado yanaende ...
Aliwaale - 08/25/2019 - 18:32
"Enyi watu! Hakika Sisi tumekuumbeni kutokana na wanamume na mwanamke. Na tumekujaalieni kuwa ni mataifa na makabila ili mjuane. Hakika aliye mtukufu zaidi kati yenu kwa Mwenyezi Mungu ni aliye mchamungu zaidi katika nyinyi. Hakika Mwenyezi Mungu ni ...
Aliwaale - 08/25/2019 - 18:32
Ingawaje utumwa ulikuwa taasisi ya kale ambayo ilianza kabla ya historia ya binadamu haijaanza kuandikwa, ni salama kusema kwamba ukubwa wa biashara hii ulifika kilele chake kwa kuendelezwa na mataifa ya Kikristo ya Ulaya na Amerika ambao kama ilivyo kawa ...
Aliwaale - 08/25/2019 - 18:32
Uislamu mara nyingi umeelezwa na waandishi wa Kristo kwamba ni dini ambayo si tu kwamba ilifumbia macho utumwa bali pia iliuhimiza. Hii ni shutuma nzito sana iliyoelekezwa dhidi ya Uislamu, na kwenye kitabu hiki nakusudia kuonyesha uwongo wake. Kama ingew ...
Aliwaale - 08/25/2019 - 18:32
Kutoa mfano kuonyesha namna gani Uislamu umenyanyua hali na hadhi ya watumwa na kuwatendea wema kama binadamu badala ya kuwafanya mzigo wa mhayawani (ambavyo ndivyo walivyo fanyiwa kabla ya Uisilamu), hadithi ifuatayo ni yenye mvuto maalum. Siku moja Mtum ...
Aliwaale - 08/25/2019 - 18:32
Sasa tumeona msimamo wa Uislamu kuhusu utumwa, hebu ngoja tuuangalie Ukristo na wafuasi wake, na tuone wali- fanya nini kuhusu suala hili. Inashangaza kuona kwamba Wakristo, ambao kwa sababu wanazo zijua wao, siku hizi wanajifanya kama mabingwa wa uhuru w ...
Aliwaale - 08/25/2019 - 18:32
“Ni njia ya kuchukiza,” ingawa inaweza kuwa hivyo, kama Merivalle alivyoiita, utumwa ulikuwa taasisi ya kiuchumi yenye muhimu wa kwanza. Utumwa ulikuwa ndiyo msingi wa uchumi wa Ugiriki na ukajenga Ufalme wa Kirumi. Katika zama hizi utumwa ulizalisha suka ...
Aliwaale - 08/25/2019 - 18:32