Mwandishi wa kitabu hiki ametoa hoja kuhusu upingamizi uliotolewa kuhusu ufanywaji wa Maulidi au kuadhimisha kuzaliwa kwa Mtume wetu Muhammad s.a.w.w.
Lugha iliyotumika na mifano iliyotolewa ni rahisi kueleweka kwa watu wa kawaida. Kitabu hiki lazima kisomwe na wote.

Maulidi, si bida, si haramu Kimechapishwa na kutolewa na Bilal Muslim Mission Of Kenya P.O. BOX 82508 Mombasa Tel: 229641 FAX 230909 e-mail: [email protected]