
Kitabu hiki kina mashairi yaliyoandikwa juu ya janga ya karbala.
Washairi wameandika kwa ustadi sana matukio yaliyotokea Karbala ambayo huleta machozi machoni mwetu. Msomaji lazima ataguswa na mashairi haya ya kusikitisha na kuhuzunisha.
Mashairi ya Masaibu ya Karbala
Kimetolewa na
Ahlul Bayt [a.s.] Assembly of Tanzania
P O Box 75215
Dar es Salaam - Tanzania
Kimechapwa na
Bilal Muslim Mission of Tanzania
S.L.P. 20033
Dar es Salaam – Tanzania