Dibaji

Namshukuru Mwenyezi Mungu Mola wa watu wote, Rehma na amani zimshukie Hashima, yeye na ahli zake.

Utukufu wa Seyyidna Ali mbele ya Mwenyezi Mungu ni jambo lisilo na shaka. Amezaliwa na wazazi watukufu na akalelewa na mtukufu waviumbe ambaye ni mtume Muhammad (s.a.w.w).

Swahili

Mwenge wa Ukweli - Imamu Ja’afar al-Sadiq a.s.

Shukrani

Mwenyezi Mungu anasema:

(Ewe mwanadamu! Ikumbuke) siku Tutakapowaita kila watu pamoja na Imamu wao; basi atakayepewa kitabu (chake cha Amali) kwa mkono wa kulia, hao watavisoma vitabu vyao (kwa furaha)… (Banii Israeil, 17:71)

Mtukufu Mtume (s.a.w.w) amesema:
"Ye yote yule afaye pasi na kumjua Imamu wa zama zake, atakuwa kafa kifo cha ujinga."

Swahili

10. Sadaqah Na Misaada:

Swahili

9. Khums

Baada ya Zaka iliyofaradhishwa inakuja Khums iliyofaradhishwa ambayo Allah (swt) amewawekea kwa ajili ya Mtume Muhammad Mustafa (s.a.w.w). pamoja na Ahlul Bayt (a.s), ambapo Zaka kwao ni haramu. Na iwapo mtu yeyote hatalipa Khums hata kwa Dirham moja au chini yake, basi huyo atakuwa ni mdhulumaji wa haki ya watajwa hapo juu.

Swahili

8. Kusali Sala Za Marehemu Ni Lazima

Haifai kabisa kufanya uvivu katika Sala zilizofaradhishwa na iwapo kutabakia kwa Sala ambazo zimekuwa Qadhaa za marehemu basi ni wajibu kake kufanya wusia kuwa sala zake hizo zitimizwe baada kufa kwake. Na marehemu anapofanya wusia kama huo basi ni wajib juu ya mwusiwa kutekeleza na kutimiza usia huo kutokea sehemu ya tatu ya mali ya marehemu huyo.

Swahili

7. Zaka Zilizo Sunnah

Vitu saba vina Zaka Sunnah:
1. Mali ya biashara au mtaji

Mali ambayo mtu anataka kuitumia katika kufanyia bishara
2. Aina za nafaka :

Mfano mchele, dengu, dengu iliyoparazwa. Lakini mbogamboga kama vile biringanya, matango, matikimaji, maboga hayana Zaka.
3. Farasi jike

4. Vito vya dhahabu na mawe

Vitu vilivyotengezwa vya kuvaa na mawe kama almasi n.k.
5. Mali iliyozikwa au kufichwa

Swahili

6. Matumizi Ya Zaka

Amesema Allah (swt) katika Quran: Surah al – Tawbah, 9, Ayah 60:

Swahili

5. Aina Za Zaka Na Viwango Vyake

Zaka imegawanywa katika makundi mawili
Zaka iliyofaradhishwa

Zaka iliyo Sunnah

Na Zaka iliyofaradhishwa pia imegawanywa katika makundi mawili:
1. Zaka ya mali

2. Zaka ya Mwili ( Zakati Fitrah )

Zaka iliyofaradhishwa inayo aina tisa za mali na aina nne za nafaka (ngano, Shayiri, tende na zabibu), aina tatu za wanyama (kondoo au mbuzi, ng’ombe na ngamia) na aina mbili za madini (dhahabu na fedha).

Swahili

4. Zaka Na Sadaqah Huongeza Neema

Faida kuu mojawapo ya kutoa Zaka ni kuongezeka kwa neema na baraka ya mali yetu iwapo itatolewa kwa kuzingatia kanuni na ustaarabu wa kutoa hivyo, na ni kinyume na mawazo na mipango ya Ki-Shaytani, kwani mabakhili hufikiria daima kuwa kwa kutoa mali yako kwa ajili misaada na Sadaqah na Zaka, basi mali yao hupungua na hivyo wanaweza kuwa masikini na kwa hakika hayo ndiyo mawazo na upotofu wa Shaytani.

Amesema Allah (swt) katika Quran: Surah al –Baqarah, Ayah 28:

Swahili

3. Sababu Za Kufaradhishwa Kwa Zaka

Katika kufaradhisha utoaji wa Zaka na Sadaqah zinginezo zinahekima ndani yake ambazo hazipo dhahiri mbele yetu. Hata hivyo baadhi yao zimeletwa bele yetu (ambavyo ni kutokea Allah ((swt)) mtihani kwa wenye mali na utajiri kwa kujiuliza je kwao Allah (swt) ni mpenzi zaidi kuliko mali zao ambazo zitakwisha siku moja? Na je kwa kweli wana imani kamili juu ya Thawabu, Jannat, Jazaa (malipo) au hawana imani? Je kwa kweli wanafanya ibada ya Allah (swt) kwa moyo mkweli au sivyo?

Swahili