Aya 1-4: Dini Safi Ni Ya Mwenyezi Mungu Tu!
Maana
Mteremsho wa Kitabu hiki umetokana na Mwenyezi Mungu, Mwenye nguvu, Mwenye hekima.
Mteremsho wa Kitabu hiki umetokana na Mwenyezi Mungu, Mwenye nguvu, Mwenye hekima.
Neno Huuzongazonga limefasiriwa kutokana na neno la kiarabu yukawwir, lenye maana ya kufunika kitu kilicho mviringo; kama mtu anavyozongazonga kitambaa kichwani kufanya kilemba.
Na wale wanaojiepusha na kuabudu taghut, na wakarejea kwa Mwenyezi Mungu, watapata bishara njema. Basi wabashirie waja wangu.
Makusudio ya Tghut hapa ni masanamu.
Mwenyezi Mungu (s.w.t.) anawabashiria wale walioacha shirki wakatubia na wakamtii Mwenyezi Mungu
Je! Yule ambaye Mwenyezi Mungu amemfungulia kifua chake kwa Uislamu, na akawa kwenye nuru itokayo kwa Mola wake, ni sawa na mwenye moyo mgumu?
Waliokuwa kabla yao walikadhibisha, na ikawajia adhabu kutoka pahali wasipopatambua. Basi Mwenyezi Mungu akawaonjesha hizaya katika uhai wa duniani. Na bila ya shaka adhabu ya Akhera ni kubwa zaidi; laiti wangelijua!
Kitabu hiki kilichoko mikononi mwako hivi sasa ni juhudi ya miaka mingi sana ya watu waliojitolea kuona kazi hii imefanikiwa bila ya kumsahau Marhum Abu Muhammad wa London.
Kama lilivyo jina la Tafsiri ndivyo ilivyo Tafsiri yenyewe ambayo mwanachuoni huyu mahiri kabisa aliyeifafanua ni mtu aliyebobea katika fani zote ambazo mfasiri (Mfafanuzi) anatakiwa awe nazo.
Sheikh Muhammad Jawad Mughniyya ameonesha cheche zake katika vitabu vingi alivyoviandika katika maudhui mbalimbali na hivyo kujipatia wasomaji wengi sana.
Na yeyote katika nyinyi atakayemtii Mwenyezi Mungu na Mtume wake na akatenda wema, tutampa malipo yake mara mbili, na tutamwandalia riziki yenye heshima.
Kama ambavyo adhabu itakuwa mara mbili kwa atakayejasiri kufanya maasi katika wake wa Mtume, vile vile thawabu zitakuwa mara mbili zaidi kwa atakayemuogopa Mwenyezi Mungu na akamcha.
Uislamu ni kukiri umoja wa Mwenyezi Mungu na risala ya Muhammad. Imani ni kukiri kwa ulimi na kufanya kwa vitendo. Kuna Aya inayofahamisha tofauti ya Uislamu na imani: “Mabedui wamesema: Tumeamini, sema: Hamjaamini, lakini semeni tumesilimu. Kwani imani haijaiingia katika nyoyo zenu.” (49:14).