Aya 9 – 11: Amali Njema Huipandisha

Maana

Na Mwenyezi Mungu ndiye anayezituma pepo ziyatimue mawingu, nasi tukayafikisha kwenye nchi iliyokufa, tukaifufua ardhi baada ya kufa kwake. Ndio kama hivyo kufufuliwa.

Umetangulia mfano wake katika Juz. 8 (7:57).

Swahili

Aya 12 – 18: Bahari Mbili Haziwi Sawa

Na bahari mbili haziwi sawa; hii ni tamu mno, kinywaji chake kinateremka uzuri, na hii ni chumvi sana.

Swahili

Aya 19 – 28: Hawi Sawa Kipofu Na Mwenye Kuona

Maana

Hawi sawa kipofu na mwenye kuona, wala giza na nuru, wala kivuli na joto. Na hawawi sawa walio hai na walio maiti.

Swahili

Aya 29 – 35: Aliyejidhulumu, Aliye Katikati, Na Aliyetangulia Kwenye Kheri

Swahili

Aya 36 – 39: Hawahukumiwi Wakafa

Maana

Na wale ambao wamekufuru watakuwa na moto wa Jahannam, hawahukumiwi wakafa wala hawatapunguziwa adhabu yake.

Swahili

Aya 40 – 43: Anazizuia Mbingu Na Ardhi

Maana

Katika Aya hii ya kwanza hapa, Mwenyezi Mungu (s.w.t.) amewapa hoja tatu washirikina:

Swahili

Aya 44 – 45: Asingelimuacha Hata Mnyama Mmoja

Maana

Je, hawakusafiri katika ardhi wakaona vipi ulikuwa mwisho wa waliokuwa kabla yao? Nao walikuwa na nguvu zaidi kuliko wao.

Swahili

Sura Ya Thelathini na Sita: Yasin

Imeshuka Makka isipokuwa Aya moja. Ina Aya 83.

بِسْمِ اللَّهِ الرَّحْمَٰنِ الرَّحِيمِ

Kwa jina la Mwenyezi Mungu, Mwingi wa rehema, Mwenye kurehemu.

يس {1}

Yasin.

وَالْقُرْآنِ الْحَكِيمِ {2}

Swahili

Aya 1 – 12: Wewe Ni Katika Mitume

Maana

Yasin

Wafasiri wengi wamesema kuwa tamko hili lina maana kama mianzo mingine ya Sura yenye herufi za mkato; kama ilivyo katika Juz.1 (2:1). Ama kauli yake Mwenyezi Mungu: “Amani kwa Ilyasin” (37:130), makusudio yake ni Ilyas.

Swahili

Aya 13-21: Mitume Wawili Walioongezewa Nguvu Na Mtume Wa Tatu

Maelezo ya Aya hizi yatakuja kwenye Juzuu inayofuatia, inshaallah, kwa vile yanaungana na huko.

Swahili