Makosa Katika Vitabu Vya Masunni

Naam bila shaka upungufu na kosa lililoko katika vitabu vya Masunni na hasa Mawahabi linarudi kwenye mambo mawili:

Swahili

Neno "Shirki" Litakukuta Kila Upande

Bila shaka kabisa miongoni mwa maneno ambayo ni rahisi na yanatumika katika nchi ya Saudia ni neno "Shirki", na tuhuma hii huelekezwa kwa wanachuoni wengi na watu wenye heshima katika Uislamu!

Swahili

Utangulizi Wa Chapa Ya Pili

Swahili

Mapinduzi Ya Kiislamu Na Hujuma Za Kiwahabi

Kwa hakika Mapinduzi ya Kiislamu nchini Iran yameleta mshituko mkubwa katika ghuba, na kuzisononesha tawala zote zilizoko sehemu hiyo na hasa hasa zile zinazohusiana na mataifa makubwa na kuyategemea kwa kila hali, na kwa upande mwingine madola hayo ya kikoloni yanazitegemea nchi hizo na miongoni mwa tawala hizi ni ule utawala wa Kiwahabi unaotawala nchi kubwa miongoni mwa nchi za Kiislamu, nchi ambayo inasifika kwa utajiri mkubwa wa asili na inanufaika kwa hali maalum ya kijiografia.

Swahili

Wanachuoni Wa Kiwahabi Wanajipendekeza Kwa Watawala

Tunaona kwamba wanachuoni wa Kiwahabi nchini Saudia na sehemu zingine wanajipendekeza kwa watawala na Makhalifa wajeuri, wanajaribu kuyatakasa matendo ya dhulma ya watawala hao na msimamo wao wakijeuri, na wanajitahidi kutoa kibali cha kisheria kwa kila kinachotokana na watawala wao na wenye mamlaka juu yao (mtawala huyo) awe mwema au muovu.

Swahili

Mawahabi Na Msimamo Wao Kwa Undani Katika Qadhiyyah Za Tauhid

Cha ajabu, (na madhali uhai utaona maajabu zaidi) ni kwamba, Uwahabi unatokana na fikra ya Sheikh mpotofu aitwaye Ibn Taimiyyah ambaye ametuarifisha maana ya Tauhidi katika kitabu chake aliposema: "Hakika Mwenyezi Mungu yuko juu ya mbingu yake kwenye arshi yake, yuko juu ya viumbe wake."1

Swahili

Utangulizi Wa Chapa Ya Kwanza Kuhusu Mawahabi Na Itikadi Zao

Shukurani zote anastahiki Mwenyezi Mungu ambaye ni Mtangu na hapana kitu kilichokuwepo kabla yake, naye ndiye wa mwisho hapana baada yake chochote. Na yeye ni dhahiri hapana kilicho dhahiri kuliko yeye, naye ni batin hapana kilicho Batin kuliko yeye.

Swahili

Muhtasari

Afrika ya Mashariki imefaidi mazingira ya amani sana kiasi cha karne mbili zilizopita. Watu wa imani na itikadi zote waliishi pamoja kwa upendo na mapenzi. Kila mmoja akishiriki kwenye shughuli za mwenzake za kijamii na za Kidini. Ukiangalia kwenye Jumuiya za Kiislamu, wote wakihudhuria kwenye Misikiti ya kila mmoja, waliungana pamoja katika Maulidi na hafla za Muharram, na kupanua ushirikiano wao katika miradi ya kila mmoja.

Swahili

Usawa

Baada ya kutokea vuguvugu la mapinduzi lililosababisha kuuawa Uthman, makundi kwa makundi ya watu wakakusanyika na kumbai Ali (AS) kuwa ni khalifa wao.

Siku ya pili yake baada ya kubaiiwa, Ali (AS) akapanda juu ya mimbari. Akaanza kutoa mawaidha yake kwa kumtukuza na kumsifu Mwenyezi Mungu, na akamwombea baraka na rehema Mtume wa Mwisho, Muhammad (SAW). Kisha akaendelea kwa kusema haya:

Swahili

47. Mwongozo Wa Dua Zizungumziazo Tawba Katika Sahifai Sajjadiyyah

1:21-23; 9:1-2; 11:3; 12:5,7,10,12; 15:2,4; 16:33; 31:16-10; 31:14-16; 31:19-20; 31:22; 31:26; 32:15; 32:19,20; 34:3-4; 37:14; 38:3; 39:13; 40:5; 43:6; 45:9-11; 45:45; 45:52; 45:54;46:16; 47:69; 47:72-73; 47:76; 47:103; 47:86; 47:126; 48:7; 49:15,50; 51:8; 52:7;52:9;53:4.

Swahili