read

Sura Ya Sita: Al-An'am

Imeteremshwa Makka isipokuwa baadhi ya Aya. Ina Aya 165.

بِسْمِ اللَّهِ الرَّحْمَٰنِ الرَّحِيمِ


Kwa



jina



la



Mwenyezi



Mungu Mwingi



wa



r


ehema



Mwenye Ku


r


ehemu

الْحَمْدُ لِلَّهِ الَّذِي خَلَقَ السَّمَاوَاتِ وَالْأَرْضَ وَجَعَلَ الظُّلُمَاتِ وَالنُّورَ ۖ ثُمَّ الَّذِينَ كَفَرُوا بِرَبِّهِمْ يَعْدِلُونَ {1}


Sif


a



njem


a



zot


e



n


i



za


Mwenyezi



Mungu aliyeumba mbingu na ardhi na akafanya giza



na



mwangaza.


T


ena



wale


waliokufur


u


wanamlingan


isha



Mola



wao



(na



wengine).

هُوَ الَّذِي خَلَقَكُمْ مِنْ طِينٍ ثُمَّ قَضَىٰ أَجَلًا ۖ وَأَجَلٌ مُسَمًّى عِنْدَهُ ۖ ثُمَّ أَنْتُمْ تَمْتَرُونَ {2}


Y


eye



ndiye



aliyewaumba



kwa


udongo


.


Kish


a


akapitisha


muda; na muda maalum uko kwake.


T


ena



nyinyi



mnatia shaka.

وَهُوَ اللَّهُ فِي السَّمَاوَاتِ وَفِي الْأَرْضِ ۖ يَعْلَمُ سِرَّكُمْ وَجَهْرَكُمْ وَيَعْلَمُ مَا تَكْسِبُونَ {3}


N


a


yey


e


ndiy


e


Mwenyezi


Mungu mbinguni na ardhi


ni


;


anaiju


a


sir


i


yen


u


na


dhahir


i


yen


u


n


a


anayajua


mnayoyachuma.